Mimi nakushauri uwe unatoka naye out usitoke peke yako, kila ukitaka kutoka out mwambie ajiandae muttoke naye akiona anakereka atakuwa anakuruhusu utoke peke yako japo mara mojamojaMimi kabla ya kuoa nilikuwa mtu wa out sana, so mwenzangu hakuwa kivile sana kwenye ishu za out, nikaona huyu atanifaa mana atanidhibiti kama si kunipunguzia ishu za out, we balaa lake baada ya yeye kuchoma ndani, yani siyo udhibiti ule wa speed governor ni hakuna tena ishu za out (mwaka sasa labda nidanganye safari ya kikazi), eti anasema ukisikia hamu ya kwenda out ingia jf mana hiyo ndiyo imekuteka akali.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa Kasie mara useme uko single mara uko na Dad.Kila la kheri wenye ndoa.
Mahisiano niliyopitia nyuma yalinifanya nikafunga mlango wa ndoa, ila mahusiano ya sasa na Dadii ni paradiso na tukigombana tunaambiana ukweli waziwazi usoni bila kuoneana aibu.
Kesho yake tunakumbatiana kama kawaida, Mahaba yetu matamu sitamani ndoa tena....
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Hii ni kwa wanaume njia pekee ya ndoa kubaki salama ni mfumo dume tu si wa kumkandamiza mwanamke ila wakuonyesha
Simba wafamilia uko ukiiunguruma lazma faraja iwepo na huzuni iwepo kma kuna ujinga umetndeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiupande wangu nahisi kuongea na mhusika ni vizuri zaidi kuliko kusema hapa japo hatuonani wala kuwajua wenza wetu ni kama kuanika siri za ndani nje
Binafs ndio nimeingia huku, Allah atuzidishie mapenzi na uvumilivu
Ushauri wako?Kila la kheri wenye ndoa.
Mahisiano niliyopitia nyuma yalinifanya nikafunga mlango wa ndoa, ila mahusiano ya sasa na Dadii ni paradiso na tukigombana tunaambiana ukweli waziwazi usoni bila kuoneana aibu.
Kesho yake tunakumbatiana kama kawaida, Mahaba yetu matamu sitamani ndoa tena....
I agreeNot that easy
Hahaahahah! Halafu wazung are fair sana ujue😂😂😂usitishike..nn inakutisha....hakuna mzungu pande hizo jaman😂😂😂 (jokes)
😂😂😂😂😂😂😂Am not sure, sijawahi jaribu [emoji1]
Poleee that's all I can saynajaribu kulala mie...
Nenda bas kajaribu then ulete mrejesho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
May be it's fair kujaribu huko piemuni
Umeingia kwa sababu umempenda jamaa au umri umekutupa mkono?Kiupande wangu nahisi kuongea na mhusika ni vizuri zaidi kuliko kusema hapa japo hatuonani wala kuwajua wenza wetu ni kama kuanika siri za ndani nje
Binafs ndio nimeingia huku, Allah atuzidishie mapenzi na uvumilivu
Nielekeze mbio niende kwa piemu ipi?? ID ya nani??Nenda bas kajaribu then ulete mrejesho
Ha haaa mweee sitaki kumtaja, mwenyewe unamjua anayekukoshaga siku zoteNielekeze mbio niende kwa piemu ipi?? ID ya nani??
Hamnaaaa wakizaaa tu ni matatizo.... Nilichofanya ni kumrudisha kwao dada wa kazi alikuja mdogo la saba alifeli nduguuuuu ametakataaaaa yaaani katika hili moja abaki wife peke yake ajue vizuri majukumu yake na anayafanya sasa yote... Na pili kujiokoa na yule dada wa kazi maana naenda ofisini nikirudi chai lazima nimtomber....Nadhani kwenye ndoa mkiwa mnatoana 'out' inapunguza mambo mengi sana,sasa unakuta bi. mkubwa alipokuwa binti 'out' zilikuwa nyingi,ameanza kuchuja (mtoto 1,2,3 n.k) hakuna 'out' hapo lazima utengeneze bomu tu.Jamani tuende nao 'out' ata kama wamezeeka,itasaidia sana.
Namjuaje tena?? Hebu ntajie huko! Mimi nshajiandaa hapa kumzamia mtu piemuni. Sema suuuu uoneHa haaa mweee sitaki kumtaja, mwenyewe unamjua anayekukoshaga siku zote