Mada maalum kuhusu nyama ya 'kitimoto'

@diana spencer ukuje huku
 
Hahaha mkuu unauliza kwa hamaki halafu iko mezani [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimetaka kujua tu ndiyo hiyo...Sidhani kama anamjua Kitimoto huyo.Hivyo vitu vikichanganyika vyote mdomoni.Ngoja niishie hapo tuendelee kusoma maoni ya Watanzania wenzutu..
 
bangi ina madhara na inapigwa marufuku na serikali nyingi duniani. lakini tunashangaa kuna nchi zimeruhusu na inatumika kama tiba!!

kuishi ni kuchagua
 
IWEKWE JUKWAA MOJA NA WALEVI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…