Mada:Je, mchakato wa kuhakiki taarifa kwenye vyombo vya habari unaendana na kasi ya kuenea kwa taarifa potoshi?

Mada:Je, mchakato wa kuhakiki taarifa kwenye vyombo vya habari unaendana na kasi ya kuenea kwa taarifa potoshi?

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
693
Reaction score
1,158
Wakuu,

MJADALA (3).jpg


Dunia ya sasa ipo kiganjani mwako, lakini je, kila unachokisoma au kusikia ni cha kweli?

Shiriki nasi katika Mjadala wa "Mchakato wa Kuhakiki Taarifa Kwenye Vyombo vya Habari, Unaendana na Kasi ya Kuenea kwa Taarifa Potoshi" kupitia Instagram Live ya JamiiForums.

Mjadala huu utaongozwa na mwandishi wa habari, Imani Luvanga, wazungumzaji ni Nuzulack Dausen wa Nukta Africa pamoja na Mpoki Thompson, Mhariri Mkuu Mwananchi Communication.

Usikose kujiunga nasi Machi 30, 2026, kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi Saa 2:00 Usiku

Karibu!
 
Back
Top Bottom