MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,784
Ahsante sana mkuu, lakini nadhani itakuwa vyema sana kama tukipata kusikia zaidi kutoka kwa wahusika wenyewe.2. Mwanamke anapoteza muda mwingi sana kujilinganisha na mwanaume ni kitu kisichowezekana kua ipo siku ke na me watakua sawa. Dunia imekaa kimfumo Dume na ndio nature yake...Wanawake inabidi watengeneze Uniqueness yao dhidi ya wanaume na hapo watakua wametupiga bao!! ! Wafanyeje???
Badala ya wanawake kupoteza muda kufanya vitu ambavyo vinafanywa na wanaume ili nao wawe sawa na wanaume inabidi wa- Concentrate kufanya mambo yote yale ambayo wanaume hatuwezi kuyafanya. Hio ndio njia pekee ya kutu-Win wanaume
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Sikujua!!!!Ahsante sana mkuu, lakini nadhani itakuwa vyema sana kama tukipata kusikia zaidi kutoka kwa wahusika wenyewe.
Vitabu vitakatifu kama Biblia na Quran kuna sehemu havimzungumzii vyema mwanamke: Je, ni kwanini wanawake wengi sana wanaendelea kushikilia hizo dini ilhali wanataka usawa na mabadiliko ndani ya jamii ??
Habari,
Mada hii ni maalum kwa wanawake na kama wao ndiyo wahusika wakuu naomba watusaidie kuelezea kwa uwazi zaidi haya maswali hapa chini.
1. Kwanini malezi yamekuwa magumu sana kipindi hiki ambacho wanawake wengi ni wasomi walio elimika vizuri, wana vipato vizuri na kushika nyadhifa kubwa ndani ya jamii kuliko kipindi chochote kuwahi tokea duniani ???
2. Kiuhalisi: Je, unaamini kwamba ipo siku ambayo mwanamke na mwanaume watakuja kuwa sawa katika nyanja zote za kijamii, kisiasa na kiuchumi ???
3. Kuhusu dhana ya maendeleo ya mwanamke: Je, unaamini kwamba mwanamke ataonekana wa maana na kuheshimika ndani ya jamii pale ambapo atakuwa na kitu cha kushindana na mwanaume au kumfanya mwanaume aogope mfano Elimu, Pesa au Cheo ??? (Kama jibu ni Ndiyo: Je, unaamini kwamba mwanamke anaweza kuishi kwa furaha na kupata amani huku akiwa amaezungukwa na wanaume wanaomwogopa)
4. Kuhusiana na falsafa ya Feminism: Je, unaamini kwamba mwanamke ambaye ni mfuasi wa hii falsafa anaweza kuwa mama mzuri katika malezi ya watoto wa kiume ??
5. Kwanini wanawake wa kiafrika wa miaka 30 iliyopita ambao walikuwa hawajasoma sana wanasifika kwa malezi mazuri kuliko wanasifika kwa malezi mazuri kuliko wanawake waliosoma wa kizazi hiki ?? Ushahidi wa hili ni mmomonyoko wa maadili ambao umelikumba taifa kipindi hiki.
6. Hypothetical Question: Je, siku ambayo mwanamke na mwanamume watakuwa sawa katika kila nyanja, unadhani dunia itakuwa ni mahali salama zaidi ??
7. Dini ni moja ya chanzo cha wanawake kufanyiwa ubaguzi na kukandamizwa na mwanaume. Vitabu vitakatifu kama Biblia na Quran kuna sehemu havimzungumzii vyema mwanamke: Je, ni kwanini wanawake wengi sana wanaendelea kushikilia hizo dini ilhali wanataka usawa na mabadiliko ndani ya jamii ??
8. Unaielewaje dhana ya "Strong Woman" or "Iron Lady" : Kati ya Oprah Winfrey, Margreth Thatcher, Cookie wa Empire, Michelle Obama, Mange Kimambi, Melinda Gates,Janet Kagame na Bikira Maria Mam wa Yesu nani ni Strong Woman or Iron Lady ?
9. Je, ni sahihi kupima nguvu za mwanamke kwa kuangalia uwezo wake wa kufanya mambo ambayo mwanaume anayafanya ??
10. Je, wewe uliyeelimika unahisi unaishi vizuri na kwa amani na mumeo, kuliko ambavyo mama yako ambaye hakuelimika sana aliishi na baba yako ?? Na je, unahisi wew uliyeelimika umefanikiwa sana katika malezi kuliko ambavyo mama yako ambaye hakusoma sana alikulea wewe ???
NB: Siyo lazima ujibu maswali yote, unaweza ukajibu hata moja tu.
Wasalaam and Happy Valentine..
π·π·π·π·πΉπΉπΉπΉπ·π·π·π·
Mushobozi Lumumba, Jr.
CC: Heaven Sent , Nalendwa, Valentina, Prishaz
2.Nina amini ndio,ipo siku wanawake watakuwa sawa na wanaume ktk nyanja zote yaani kiuchumi,siasa etc.
Kwasasa wanawake tumeamka sana na kufunguka tofauti na hapo awali,karibu kila sector mwanamke yupo.Lakn pia wanaume baadhi yao wamejisahau sana kutimiza majukumu yao ktk ngazi za familia unakuta mama ndio anaibeba familia,hiyo inatupa creadit kuwa ipo siku tutakuwa sawa .
Unaelewa nini ukiambiwa juu ya MMOMONYOKO WA MAADILI ?Kulea kumebadilika,more Schooling,more income,more power,more choices,kama you can afford a cook,why bother teaching your daughter how to cook??,sasa na mtoto kamuona mama akitoka kazini,ni kuangalia TV.,au yuko kwenye computer,basi ana imitate that,sababu watoto huangalia wazazi wao kama role models.
Kingine ukiangalia mambo ya revolution;certain traits(sijui neon sahihi) zimekua changed over time because of changes in the environment,Kulea back then ilikua kuosha vyombo,kupika,kufua ndio malezi yenyewe,walifanya hivyo kwa kuwa walikua adapted to their environment,hakukua na revolution of technology. Sasa its our time may be its not necessary kumfundisha mtu kupika,sababu any dish can be studied online through youtube tutorials may be ??,The use of advance technology,Education,Money etc has made our life easier and we don't need to kufundisha our kids 'manually' ,and future kids will change even more compared to us.....kwa mfano akitaka kuchukua juice kwenye fridge analituma tu li ROBOT linaenda kumchukulia..hahahahah..kuna point nilitaka kuisema sijui kama nimewakilisha vyema.
Umenikumbusha kitu kizuri sana na naomba nisema nilitaka kusema Islamic Laws/Canons. Ngoja nirekebishe....Kwanza kaka hongera sana kwa maswali mazuri kwa wanawake wa sasa.
Ombi langu kwako ni kwamba,naomba unipe ushahidi kutoka katika Qur'aan unao mzungumzia mwanamke kwa ubaya ?
Naendelea kusoma majibu ya wanawake.
2.Nina amini ndio,ipo siku wanawake watakuwa sawa na wanaume ktk nyanja zote yaani kiuchumi,siasa etc.
Kwasasa wanawake tumeamka sana na kufunguka tofauti na hapo awali,karibu kila sector mwanamke yupo.Lakn pia wanaume baadhi yao wamejisahau sana kutimiza majukumu yao ktk ngazi za familia unakuta mama ndio anaibeba familia,hiyo inatupa creadit kuwa ipo siku tutakuwa sawa .
Unaelewa nini ukiambiwa juu ya MMOMONYOKO WA MAADILI ?
Umenikumbusha kitu kizuri sana na naomba nisema nilitaka kusema Islamic Laws/Canons. Ngoja nirekebishe....
hahaa sijui,conservative at work...una uhakika kizazi kilichopita hakukua na mmonyoko wa maadili??ULIISHI HIO KARNE UKAJUA???