Mada hii ni maalum kwa wanawake watusaidie kujibu maswali haya

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
20,897
63,765
Habari,
Mada hii ni maalum kwa wanawake na kama wao ndiyo wahusika wakuu naomba watusaidie kuelezea kwa uwazi zaidi haya maswali hapa chini.

1. Kwanini malezi yamekuwa magumu sana kipindi hiki ambacho wanawake wengi ni wasomi walio elimika vizuri, wana vipato vizuri na kushika nyadhifa kubwa ndani ya jamii kuliko kipindi chochote kuwahi tokea duniani ???

2. Kiuhalisi: Je, unaamini kwamba ipo siku ambayo mwanamke na mwanaume watakuja kuwa sawa katika nyanja zote za kijamii, kisiasa na kiuchumi ???

3. Kuhusu dhana ya maendeleo ya mwanamke: Je, unaamini kwamba mwanamke ataonekana wa maana na kuheshimika ndani ya jamii pale ambapo atakuwa na kitu cha kushindana na mwanaume au kumfanya mwanaume aogope mfano Elimu, Pesa au Cheo ??? (Kama jibu ni Ndiyo: Je, unaamini kwamba mwanamke anaweza kuishi kwa furaha na kupata amani huku akiwa amaezungukwa na wanaume wanaomwogopa)

4. Kuhusiana na falsafa ya Feminism: Je, unaamini kwamba mwanamke ambaye ni mfuasi wa hii falsafa anaweza kuwa mama mzuri katika malezi ya watoto wa kiume ??

5. Kwanini wanawake wa kiafrika wa miaka 30 iliyopita ambao walikuwa hawajasoma sana wanasifika kwa malezi mazuri kuliko wanawake waliosoma wa kizazi hiki ?? Ushahidi wa hili ni mmomonyoko wa maadili ambao umelikumba taifa kipindi hiki.

6. Hypothetical Question: Je, siku ambayo mwanamke na mwanamume watakuwa sawa katika kila nyanja, unadhani dunia itakuwa ni mahali salama zaidi ??

7. Dini ni moja ya chanzo cha wanawake kufanyiwa ubaguzi na kukandamizwa na mwanaume. Vitabu vitakatifu kama Biblia na hata sheria za dini ya kiislamu ya baadhi ya nchi kuna sehemu hazimzungumzii vyema mwanamke au hazimuweki mwanamke katika nafasi nzuri: Je, ni kwanini wanawake wengi sana wanaendelea kushikilia hizo dini ilhali wanataka usawa na mabadiliko ndani ya jamii ??

8. Unaielewaje dhana ya "Strong Woman" or "Iron Lady" : Kati ya Oprah Winfrey, Margreth Thatcher, Cookie wa Empire, Michelle Obama, Mange Kimambi, Melinda Gates,Janet Kagame na Bikira Maria Mam wa Yesu nani ni Strong Woman or Iron Lady ?

9. Je, ni sahihi kupima nguvu za mwanamke kwa kuangalia uwezo wake wa kufanya mambo ambayo mwanaume anayafanya ??

10. Je, wewe uliyeelimika unahisi unaishi vizuri na kwa amani na mumeo, kuliko ambavyo mama yako ambaye hakuelimika sana aliishi na baba yako ?? Na je, unahisi wewe uliyeelimika umefanikiwa sana katika malezi kuliko ambavyo mama yako ambaye hakusoma sana alifanikiwa kukulea wewe ???

NB: Siyo lazima ujibu maswali yote, unaweza ukajibu hata moja tu.

Wasalaam and Happy Valentine..
🌷🌷🌷🌷🌹🌹🌹🌹🌷🌷🌷🌷

Mushobozi Lumumba, Jr.

CC: Heaven Sent , Nalendwa, Valentina, Prishaz
 
2. Mwanamke anapoteza muda mwingi sana kujilinganisha na mwanaume ni kitu kisichowezekana kua ipo siku ke na me watakua sawa. Dunia imekaa kimfumo Dume na ndio nature yake...Wanawake inabidi watengeneze Uniqueness yao dhidi ya wanaume na hapo watakua wametupiga bao!! ! Wafanyeje???
Badala ya wanawake kupoteza muda kufanya vitu ambavyo vinafanywa na wanaume ili nao wawe sawa na wanaume inabidi wa- Concentrate kufanya mambo yote yale ambayo wanaume hatuwezi kuyafanya. Hio ndio njia pekee ya kutu-Win wanaume

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Ahsante sana mkuu, lakini nadhani itakuwa vyema sana kama tukipata kusikia zaidi kutoka kwa wahusika wenyewe.
 
9.Nitajaribu kuelezea kwa uelewa wangu mdg,
kuna msemo unasema"what a man can do a woman can do it better" sina hakika sana kama ni mambo/ shughuli zote anazofanya me basi ke anaweza zaidi,ingawa kweli yapo ambayo me wanafanya na ke wanafanya pia.
Nadhani kipimo kizuri ni kuangalia je ni kwa jinsi gn au kiwango gn huyu mwanamke anaweza kuyatimiza majukumu au kuyatendea haki yale yanayomuhusu au zile kazi zinazomuhusu yeye kama mwanamke na sio zile shughuli au kazi za kiume pekee.
 
1.Kulea kumebadilika,more Schooling,more income,more power,more choices,kama you can afford a cook,why bother teaching your daughter how to cook??,sasa na mtoto kamuona mama akitoka kazini,ni kuangalia TV.,au yuko kwenye computer,basi ana imitate that,sababu watoto huangalia wazazi wao kama role models.

Kingine ukiangalia mambo ya revolution;certain traits(sijui neon sahihi) zimekua changed over time because of changes in the environment,Kulea back then ilikua kuosha vyombo,kupika,kufua ndio malezi yenyewe,walifanya hivyo kwa kuwa walikua adapted to their environment,hakukua na revolution of technology. Sasa its our time may be its not necessary kumfundisha mtu kupika,sababu any dish can be studied online through youtube tutorials may be ??:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::D:D:D:D,The use of advance technology,Education,Money etc has made our life easier and we don't need to kufundisha our kids 'manually' ,and future kids will change even more compared to us.....kwa mfano akitaka kuchukua juice kwenye fridge analituma tu li ROBOT linaenda kumchukulia..hahahahah..kuna point nilitaka kuisema sijui kama nimewakilisha vyema.
 
2.Nina amini ndio,ipo siku wanawake watakuwa sawa na wanaume ktk nyanja zote yaani kiuchumi,siasa etc.

Kwasasa wanawake tumeamka sana na kufunguka tofauti na hapo awali,karibu kila sector mwanamke yupo.Lakn pia wanaume baadhi yao wamejisahau sana kutimiza majukumu yao ktk ngazi za familia unakuta mama ndio anaibeba familia,hiyo inatupa creadit kuwa ipo siku tutakuwa sawa .
 
Vitabu vitakatifu kama Biblia na Quran kuna sehemu havimzungumzii vyema mwanamke: Je, ni kwanini wanawake wengi sana wanaendelea kushikilia hizo dini ilhali wanataka usawa na mabadiliko ndani ya jamii ??

Kwanza kaka hongera sana kwa maswali mazuri kwa wanawake wa sasa.

Ombi langu kwako ni kwamba,naomba unipe ushahidi kutoka katika Qur'aan unao mzungumzia mwanamke kwa ubaya ?

Naendelea kusoma majibu ya wanawake.
 
Habari,
Mada hii ni maalum kwa wanawake na kama wao ndiyo wahusika wakuu naomba watusaidie kuelezea kwa uwazi zaidi haya maswali hapa chini.

1. Kwanini malezi yamekuwa magumu sana kipindi hiki ambacho wanawake wengi ni wasomi walio elimika vizuri, wana vipato vizuri na kushika nyadhifa kubwa ndani ya jamii kuliko kipindi chochote kuwahi tokea duniani ???

2. Kiuhalisi: Je, unaamini kwamba ipo siku ambayo mwanamke na mwanaume watakuja kuwa sawa katika nyanja zote za kijamii, kisiasa na kiuchumi ???

3. Kuhusu dhana ya maendeleo ya mwanamke: Je, unaamini kwamba mwanamke ataonekana wa maana na kuheshimika ndani ya jamii pale ambapo atakuwa na kitu cha kushindana na mwanaume au kumfanya mwanaume aogope mfano Elimu, Pesa au Cheo ??? (Kama jibu ni Ndiyo: Je, unaamini kwamba mwanamke anaweza kuishi kwa furaha na kupata amani huku akiwa amaezungukwa na wanaume wanaomwogopa)

4. Kuhusiana na falsafa ya Feminism: Je, unaamini kwamba mwanamke ambaye ni mfuasi wa hii falsafa anaweza kuwa mama mzuri katika malezi ya watoto wa kiume ??

5. Kwanini wanawake wa kiafrika wa miaka 30 iliyopita ambao walikuwa hawajasoma sana wanasifika kwa malezi mazuri kuliko wanasifika kwa malezi mazuri kuliko wanawake waliosoma wa kizazi hiki ?? Ushahidi wa hili ni mmomonyoko wa maadili ambao umelikumba taifa kipindi hiki.

6. Hypothetical Question: Je, siku ambayo mwanamke na mwanamume watakuwa sawa katika kila nyanja, unadhani dunia itakuwa ni mahali salama zaidi ??

7. Dini ni moja ya chanzo cha wanawake kufanyiwa ubaguzi na kukandamizwa na mwanaume. Vitabu vitakatifu kama Biblia na Quran kuna sehemu havimzungumzii vyema mwanamke: Je, ni kwanini wanawake wengi sana wanaendelea kushikilia hizo dini ilhali wanataka usawa na mabadiliko ndani ya jamii ??

8. Unaielewaje dhana ya "Strong Woman" or "Iron Lady" : Kati ya Oprah Winfrey, Margreth Thatcher, Cookie wa Empire, Michelle Obama, Mange Kimambi, Melinda Gates,Janet Kagame na Bikira Maria Mam wa Yesu nani ni Strong Woman or Iron Lady ?

9. Je, ni sahihi kupima nguvu za mwanamke kwa kuangalia uwezo wake wa kufanya mambo ambayo mwanaume anayafanya ??

10. Je, wewe uliyeelimika unahisi unaishi vizuri na kwa amani na mumeo, kuliko ambavyo mama yako ambaye hakuelimika sana aliishi na baba yako ?? Na je, unahisi wew uliyeelimika umefanikiwa sana katika malezi kuliko ambavyo mama yako ambaye hakusoma sana alikulea wewe ???

NB: Siyo lazima ujibu maswali yote, unaweza ukajibu hata moja tu.

Wasalaam and Happy Valentine..
🌷🌷🌷🌷🌹🌹🌹🌹🌷🌷🌷🌷

Mushobozi Lumumba, Jr.

CC: Heaven Sent , Nalendwa, Valentina, Prishaz

Ajabu ya maswali haya,hakuna mwanamke wa mlengo wa "Feminism" akaweza kuyajibu maswali hayo.

Huwa wana kauli mbiu ya kifedhuli na kizandiki ya "Tunataka haki sawa kwa wote". Hawaja wahi kutaka haki sawa hawa bali wana taka kufanana kwa haki.

Lakini wakae wakijua ya kuwa haki sawa haipatikana kwa kura ya veto wala kwa kampeni na matamasha.
 
2.Nina amini ndio,ipo siku wanawake watakuwa sawa na wanaume ktk nyanja zote yaani kiuchumi,siasa etc.

Kwasasa wanawake tumeamka sana na kufunguka tofauti na hapo awali,karibu kila sector mwanamke yupo.Lakn pia wanaume baadhi yao wamejisahau sana kutimiza majukumu yao ktk ngazi za familia unakuta mama ndio anaibeba familia,hiyo inatupa creadit kuwa ipo siku tutakuwa sawa .

Unaweza hata kutoa ishara juu ya siku hiyo itakuwaje ?
 
Kulea kumebadilika,more Schooling,more income,more power,more choices,kama you can afford a cook,why bother teaching your daughter how to cook??,sasa na mtoto kamuona mama akitoka kazini,ni kuangalia TV.,au yuko kwenye computer,basi ana imitate that,sababu watoto huangalia wazazi wao kama role models.

Kingine ukiangalia mambo ya revolution;certain traits(sijui neon sahihi) zimekua changed over time because of changes in the environment,Kulea back then ilikua kuosha vyombo,kupika,kufua ndio malezi yenyewe,walifanya hivyo kwa kuwa walikua adapted to their environment,hakukua na revolution of technology. Sasa its our time may be its not necessary kumfundisha mtu kupika,sababu any dish can be studied online through youtube tutorials may be ??:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::D:D:D:D,The use of advance technology,Education,Money etc has made our life easier and we don't need to kufundisha our kids 'manually' ,and future kids will change even more compared to us.....kwa mfano akitaka kuchukua juice kwenye fridge analituma tu li ROBOT linaenda kumchukulia..hahahahah..kuna point nilitaka kuisema sijui kama nimewakilisha vyema.
Unaelewa nini ukiambiwa juu ya MMOMONYOKO WA MAADILI ?
 
Kwanza kaka hongera sana kwa maswali mazuri kwa wanawake wa sasa.

Ombi langu kwako ni kwamba,naomba unipe ushahidi kutoka katika Qur'aan unao mzungumzia mwanamke kwa ubaya ?

Naendelea kusoma majibu ya wanawake.
Umenikumbusha kitu kizuri sana na naomba nisema nilitaka kusema Islamic Laws/Canons. Ngoja nirekebishe....
 
2.Nina amini ndio,ipo siku wanawake watakuwa sawa na wanaume ktk nyanja zote yaani kiuchumi,siasa etc.

Kwasasa wanawake tumeamka sana na kufunguka tofauti na hapo awali,karibu kila sector mwanamke yupo.Lakn pia wanaume baadhi yao wamejisahau sana kutimiza majukumu yao ktk ngazi za familia unakuta mama ndio anaibeba familia,hiyo inatupa creadit kuwa ipo siku tutakuwa sawa .

Hivi kuamka ndio mpaka ushindane na mimi ?
 
hahaa sijui,conservative at work...una uhakika kizazi kilichopita hakukua na mmonyoko wa maadili??ULIISHI HIO KARNE UKAJUA???

Athari zimetufikia na zama zilikuwa zinabadilika,vizazi vingi vilivyopita vili athiriwa na ujinga ndio maana wakaja midume kuwapa elimu bora na zenye manufaa.

Udhuru huo umetoka sasa na leo hii elimu ipo,tatizo watu ni waoga na wameamua kupingana na ukweli.
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom