Mada Chokozi: Chadema/UKAWA ibadili aina ya siasa Tanzania

I thought for a change you have come with an all inclusive idea, however u hv proven yourself very immature. This post of yours has excluded all ccm supporters by insisting to leave them as they are.
Also u have used false info claiming chadema has won the popular vote but lost the election unfairly, this is heresay and what u n like wise want to Blv in.

Although the general idea could be constructive if it was presented by a credible person, who had the true interest of TZ at heart, but a die hard party pauper.
 
Navutiwa na siasa za USA, Rusia, Israel na siasa alizoziendesha Lowasa,

Ni siasa ambazo hata asiye na chama atazipenda,

Wewe ni mpumbavu kabisa, hivi unazujua siasa za US vizuri? Lowasaa alifanya zaidi ya siasa za usanii akitumia ujuzi wake wa sanaa. Hujielewi
 
Kama washauri wa chadema yericko yumo chama kinaenda kufa kike sooon

Yericko nyerere ni janga kuu la wazawa
 
Hapo Yeriko umechemka parefu sana. Kama kwenye shughuli za chama hakutakuwa na utambulisho wengine unataka wadhanie ni muadhara au mkutano wa injili? Kwanini unawapendelea ccm kuwa wao wawe na utambulisho au mahaba ya ccm yapo sana moyoni sasa umetumia akili yako kuyaleta na kivuli cha uzalendo?
 
Ndiomaana ya mada chokozi, lazima tusigane ili tupate dhahabu nzuri
 
Kidogo sare ya CHADEMA inavutia kwanini usiwashauri ccm kuondoa yale manguo ya kijani?
 
Back
Top Bottom