Man U unampa ashinde mara paaap anachakazwa na BrentfordAiseeee wewe acha kabisa, sikia tuu story kwa watu ila omba yasikukute au uwe ushapita kwenye kipindi kama hiki,...
Usikie kwa mwenzio tu omba isikukuteMi najisemeaga miongoni mwa vitu ambavyo omba Mungu usivipitie basi ni kukosa ajira. Tena hasa pale linapogeuka kuwa tatizo sugu kwa upande wako...
Bayern Munich anapigwa wakati kila game alikua anashinda.
Nimepitia hayoMi najisemeaga miongoni mwa vitu ambavyo omba Mungu usivipitie basi ni kukosa ajira. Tena hasa pale linapogeuka kuwa tatizo sugu kwa upande wako, yani unakaa mtaani miaka 3,4,5+ huelewi. Halafu kumbuka umri haukusubiri unakuta wenzio wanaotea magepu vitengo vizito vizito, wanaoa/kuolewa, wanafanya maisha mengine we bado umestuck palepale, nyumbani unaanza kudharaulika unaonekana hamna kitu. Hizo stress zake aiseee hakuna rangi utaacha ona. Mbona utaona duniani sio mahala salama pa kuishi!
Full stress huwezi furahia maishaUsikie kwa mwenzio tu omba isikukute
Pole sana mkuuNimepitia hayo