Mtu unapaswa kujenga tafrija na zawadi ya utu wako !! Pia unaweza chakaza na kuchafua nafsi yako kwa kujifurisha au kujichukiza ...huitwa Uhasidi... ikawa kila kiyu kwako NEGETIVE !!
Life is short...Smile na uendelee na maisha hutohasirika kitu !!
Tabasaamu ni bure !!