Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
Safi kwa kumtoa ya furaha na pia mtoe wasi wasi.Namtoaga ya furaha kwasababu nampenda sana na nnamtoaga ya huzuni kwasababu haniamini 😛
Tears of joy siku zote inapendeza kama wote mnapeana lakini ikiwa ni wewe tu ndo una sacrifice hayo machozi hiyo inakuwa ni falsafa ya mshumaa una wamulikia wengine wewe unateketea.[/QUOTE
usisubiri malipo tenda wema nenda zako.
Acha kumsingizia Mungu hana mipango mibaya na wanadamu. imekua desturi ni mipango ya Mungu. sasa kama changudoa au mwizi ni mipango ya Mungu. Dhambi ingekua ya nini wakati mipangovya Mungu hakuna wa kuzuia? Amkeniiii.Mipango ya Mungu... Kuna siku mbaya na kuna siku njema..!! Sina dhamana na hisia za mtu !!!
Tenda wema nenda zakoo.Tears of joy siku zote inapendeza kama wote mnapeana lakini ikiwa ni wewe tu ndo una sacrifice hayo machozi hiyo inakuwa ni falsafa ya mshumaa una wamulikia wengine wewe unateketea.
Mwanamumeee, kidume...Nilikuuliza we ni ke au me hujajibu
Mpendwa kwa nn hauaminiki?Namtoaga ya furaha kwasababu nampenda sana na nnamtoaga ya huzuni kwasababu haniamini 😛
Sijui mpendwa, labda pepo la wivu make nalo likiingia limeingiaMpendwa kwa nn hauaminiki?
Duuh..Huo wivu basi unaitaji tiba..Kama unapelekea hadi machozi..Hilo ni balaaSijui mpendwa, labda pepo la wivu make nalo likiingia limeingia
Mweleze ukweliiiii woteeee.. usifiche.Mimi huwa namtoa machozi ya furaha, ila yeye ananitoa machozi ya huzuni maana nikishika simu yake naumia hapo hapo.
Duuuuuh.. watakuja na kuondoka ila chunga ukimwi.Mambo ya machozi hasa kwenye mapenzi ni wizi mtupu sijawahi na sitegemei kupunguza maji yangu mwilini kwaajili ya hawa wanawake wa suku hizi Let them come and go for freee
Jiele zaidi .... umekurupuka tu!Acha kumsingizia Mungu hana mipango mibaya na wanadamu. imekua desturi ni mipango ya Mungu. sasa kama changudoa au mwizi ni mipango ya Mungu. Dhambi ingekua ya nini wakati mipangovya Mungu hakuna wa kuzuia? Amkeniiii.
Mungu asipoulinda mji wakeshao wafanya kazi bure, vivyo hivyo Mungu akipanga kukuepusha na ukimwi anakuepusha tu mkuuDuuuuuh.. watakuja na kuondoka ila chunga ukimwi.
Mungu amuepesha mzinzi na ukimwi.. kichwa cha habari cha nipashe kesho.Mungu asipoulinda mji wakeshao wafanya kazi bure, vivyo hivyo Mungu akipanga kukuepusha na ukimwi anakuepusha tu mkuu