Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,423
- 8,367
Looh
Mwanamke ni kiumbe dhaifu juu yakua wegine ni majasiri lakini mwisho wa siku atabia kua mwanamke, mwanamke ni Mama,ni Dada,ni mkeo anastahili mapenzi kudekezwa,chozi lake akiwa mama basi afadhali upigwe na risasi kuliko umtoe chozi na dhambi yake mwenyezi mungu peke yake anaijua,hata awe mkeo wa halali nae chozi lake pia usilidharau..