K kibaravumba JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,633 Reaction score 7,022 May 8, 2017 #1 Huku akiendekeza ubaguzi mkubwa,ana tweet kuonyesha ameumizwa sana!Mungu akulipe sawa sawa na matendo yako.
Huku akiendekeza ubaguzi mkubwa,ana tweet kuonyesha ameumizwa sana!Mungu akulipe sawa sawa na matendo yako.
Mwana JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,967 May 8, 2017 #3 kibaravumba said: Huku akiendekeza ubaguzi mkubwa,ana tweet kuonyesha ameumizwa sana!Mungu akulipe sawa sawa na matendo yako. Click to expand... Kila mtu anajua uchungu alionao! Wewe mpaka kuweza kupost utumbo huu wakati huu wa majonzi kwa watanzania wote tukuiteje?
kibaravumba said: Huku akiendekeza ubaguzi mkubwa,ana tweet kuonyesha ameumizwa sana!Mungu akulipe sawa sawa na matendo yako. Click to expand... Kila mtu anajua uchungu alionao! Wewe mpaka kuweza kupost utumbo huu wakati huu wa majonzi kwa watanzania wote tukuiteje?
Jalema JF-Expert Member Joined Oct 26, 2013 Posts 593 Reaction score 869 May 8, 2017 #4 kibaravumba said: Huku akiendekeza ubaguzi mkubwa,ana tweet kuonyesha ameumizwa sana!Mungu akulipe sawa sawa na matendo yako. Click to expand... Mkuu embu funguka zaidi
kibaravumba said: Huku akiendekeza ubaguzi mkubwa,ana tweet kuonyesha ameumizwa sana!Mungu akulipe sawa sawa na matendo yako. Click to expand... Mkuu embu funguka zaidi
kubwa jinga jr JF-Expert Member Joined Mar 19, 2017 Posts 292 Reaction score 309 May 8, 2017 #5 basi na huku limpataro kenge mamba hana habari
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,333 Reaction score 72,659 May 9, 2017 #6 Hili dongo kwa nani vile?