Kitambaa cha kweli hakiwezi kuyachoka
machozi na jasho lako paleunapoamua kufanya
kweli katika maisha..
Pambana usiku na mchana kuhakikisha maisha
yako yanakuwa bora zaidi ya jana.
Kumbuka Changamoto zipo ili kukufanya uwe
mkakamavu, maana hakuna aliyefanikiwa
maishani kwakuogopa vikwazo na changamoto
zinazomkabili kila iitwapo leo...
Sent using
Jamii Forums mobile app