Macho yanatuponza wanaume

Bora mlivyojitambua kwa ujinga mnaoufanyagaaaa......
 
Utakuwa umejaaliwa kutenga macho na tamaa za mwili!Hongera lakini mie naona chanzo cha kuongezeka kwa tamaa kwa wanaume ni kuona mitikisiko hii ikipita,

Haaa haaa haa mkuu wewe acha tuh
 
Umesahau na sauti mama, mama, mamaaaaaaaaaaaaa kuna wanawake wana kinanda usiombee, bora uwe kipofu ila usikie kinanda cha kumtoa nyoka pangoni. Mwisho Epuka UKIMWI Baki Njia Kuu.
 
nature ya mwanaume awe hata mnyama ni explore other mates.kwa hiyo usione ni ajabukwa wewe kutamani wanawake wengi.tatizo ni jinsi gani waweza pingana na hiyo hali
 
Bora mlivyojitambua kwa ujinga mnaoufanyagaaaa......

sio kwamba tunapeenda sana, macho yanatuponza, mtu anajiapiza kabisa kwamba nataka kuacha umalaya lakini in two days anaanza kuonyesha "mtoto anafiga yule lazima nim........"macho ya tamaa!
 
Afadhali maana mngetuchagua, na nyie ni wepesi wa kupenda na kuridhika!haya madhambi yangepungua

Lakini mungu akikupa kilema hakuseshi hatua,nlikua na rafiki yangu wenyewe twapendana hasa ila alikua kama 15 years older kuliko mimi mwenyewe nampeleka kwao akitoka kazini au namvusha barabara hela zake huwa ananipa nimhesabie au nitizame contact fulani katika sim yake alafu nipige ila bwana wadada wazuri anawajua sijui hata anawajuaje na tena anasema hasa huyu dada mzuri na kweli hapo ndio alikua akinishangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…