Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 953
- 413
Habari zenu ebna kuna mdada huwa nikikutana nae na tukikutanisha macho yakwake na yangu, dizain kama naona tunasemeshana,,, tatzo ni nin apo jamaani msaada na ni kila sikuuu .
Tupochuo kimoja ila facult tofauti ila kuna baadh ya coarse tunapga pamoja, ni apa mzumbe university
Saada wadau!
dah . theory of atraction!! hihih