mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,281 Reaction score 6,164 Aug 13, 2018 #21 hayo macho kama ya mbuzi wetu
Mayor of kingstown JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 2,921 Reaction score 4,216 Aug 13, 2018 #22 ata dem wang anayo kama ayo usiku sihangaiki kumtafuta. nasubiri kupata nae toto la taifa..
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 20,999 Aug 13, 2018 #23 mi napenda macho meusi/brown ya waafrika. huwa yanang'aa sana. Ya blue au kijano hayako poa kabis
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,943 Reaction score 134,362 Aug 14, 2018 #24 Duh macho kama yangu watu wanasemaga Nna macho ya papa Ova
T Tata JF-Expert Member Joined Dec 3, 2009 Posts 5,799 Reaction score 2,733 Aug 14, 2018 #25 SNAP J said: Mkuu, ina maana ktk maisha yako hujawahi hata kukutana mtaani na na mweusi mwenye macho hayo!? Click to expand... Sijawahi na nimeishi kwa zaidi ya nusu karne.
SNAP J said: Mkuu, ina maana ktk maisha yako hujawahi hata kukutana mtaani na na mweusi mwenye macho hayo!? Click to expand... Sijawahi na nimeishi kwa zaidi ya nusu karne.
Diason David JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 7,556 Reaction score 7,383 Aug 14, 2018 #26 Kwanini mkuu Mimi namwona different na wengine. lucas mobutu said: Mke wa hivi sio Click to expand...
Kwanini mkuu Mimi namwona different na wengine. lucas mobutu said: Mke wa hivi sio Click to expand...
Fedor von Bock JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 2,321 Reaction score 2,157 Aug 14, 2018 #27
Chumchang Changchum JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 6,138 Reaction score 6,432 Aug 14, 2018 #28 Mungu awalinde na rangi ya Uafrica wao... Tabu wakidada wanaojichubua na kutaka wawe wazungu..
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 47,152 Reaction score 112,966 Aug 14, 2018 #29 kuna baadhi ya picha naona kama unadhalilisha. all in all its photoshop
mwanadar JF-Expert Member Joined Oct 18, 2015 Posts 423 Reaction score 294 Aug 14, 2018 #30 Hizo mbona kama picha duka?.
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,553 Reaction score 21,224 Jan 10, 2025 #31 SNAP J said: Mkuu, ina maana ktk maisha yako hujawahi hata kukutana mtaani na na mweusi mwenye macho hayo!? Click to expand... Mimi Binafsi juzi ndiyo nimekutana na binti mmoja mzuri sana mwenye macho ya Paka. Kabla yake sikuwahi kuona mwafrika menye macho ya paka.
SNAP J said: Mkuu, ina maana ktk maisha yako hujawahi hata kukutana mtaani na na mweusi mwenye macho hayo!? Click to expand... Mimi Binafsi juzi ndiyo nimekutana na binti mmoja mzuri sana mwenye macho ya Paka. Kabla yake sikuwahi kuona mwafrika menye macho ya paka.
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,553 Reaction score 21,224 Jan 10, 2025 #32 Tata said: Sijawahi na nimeishi kwa zaidi ya nusu karne. Click to expand... Mkuu mimi nimemuona juzi, binti mzuri sana ana macho ya paka. Kabla yake sijawahi kuona mwafrika mwenye macho ya paka
Tata said: Sijawahi na nimeishi kwa zaidi ya nusu karne. Click to expand... Mkuu mimi nimemuona juzi, binti mzuri sana ana macho ya paka. Kabla yake sijawahi kuona mwafrika mwenye macho ya paka
D Don Masanja JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 1,056 Reaction score 987 Jan 11, 2025 #33 macho ya nyau