Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,863
Macho ya kiroho ni yale macho ambayo huona wakati umefumba macho. Kwa kawaida binadamu anapofumba macho maana yake anatumia mwili wa kiroho kuona. Macho haya ndo yanayotumika kwenye ndoto.
Mtu akiwa na majini na majini hao wakawa wapo kimaamlisho ataongea nao akiwa amefumba macho.
Ikitokea umeonana na jini bila kufumba macho ni kwamba yeye ameamua umuone lakini akija ndani ya nyumba yako jini yeyote au mchawi yeyote ukifumba macho tu unamuona lakini ukifumbua macho humuoni.
Hilo ndio jicho la tatu, lakini ukitumia vipandikizi ukawa unaona bila kufumba macho ni hatari na inawezekana ukawa kipofu kwasababu jicho hilo linahitaji uwezo wa kiza.
Pia jicho hili linakuonyesha mipangilio yako ya maisha pamoja na changamoto, kulingana na level ya jicho lako la tatu unaweza kuona yaliyojificha lakini pia unaweza kuona mambo yatakayotokea baadae au kesho.
Mfano :- unaweza ukawa unatembea kumbe mbele kuna hatari itakayokutokea inaweza ikawa ajali au vibaka wanakusubiri au balaa lolote lile kama uwezo huu unao utalazimika kubadilisha njia au kusitisha kabisa safari yako.
Watu wenye uwezo huu kwa lugha ya kifaransa wanajulikana kama Clairvoyant kwa kingereza third eye kiswahili jicho la tatu.
Wale wanaosema hakuna ajuaye kesho ni waongo. Ufalme wa Mungu upo ndani yako.