Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,237
- 44,470
Mie nilikutana na binti mahali, sikuwa na uhakika kama ni yule niliedhani nilikuwa namfahamu au ni kufananisha tu. Yule binti akaniambia "kama umenipenda wee sema tu". Na wala sikuwa na hilo wazo!
MMM salute you mkuu. Mm kuna staffmate wangu wa kike aliwahi kutamka mbele yetu wafanyakazi wa kiume eti siku hiyo ana hamu anataka wa kumkuna. Kwakweli nowdays aibu hakuna kabisaa.
Kweli kabisa anaweza kupata mtu wa kumkuna lakini anafikiria anaweza kuvutia mume material? Halafu wa namna hiyo wanaume wanampenda kweli!!
Hahahahaha, hii kali!Cku hizi mambo yamebadilika sn,hata zile aibu za kutafuna kucha wakati wa kutongozwa hakuna tena,cku hizi kuna wenye ujacri wa kumtokea mwanaume!mie nafikiri hata malezi hasa ya huku mjin yamechangia sn,ila kale kaibu ka kike ni muhimu kuwa maintained!cku moja kwenye daladala mdada alipokea cm anaongea na buzi lake nilitaman kujificha bila haya anamsifia jamaa kwa gemu aliyompa mpaka na maumbile ya jamaa haki ya nani watu walibaki kuguna na kutizamana tu!
Hahahahaha, hii kali!
Stop it please, sina mbavu huku!Mwenzangu,yan kila mwanamke mle ndan tulibaki macho yametutoka na hv vicm vyetu ya nokia tochi mtu akiongea unamsikia mpaka wa upande wa pili dah!ni aibu mwanzo mwisho bidada yeye wala ndio kwanza kanogewa anamwaga misifa tu!
Mwenzangu,yan kila mwanamke mle ndan tulibaki macho yametutoka na hv vicm vyetu ya nokia tochi mtu akiongea unamsikia mpaka wa upande wa pili dah!ni aibu mwanzo mwisho bidada yeye wala ndio kwanza kanogewa anamwaga misifa tu!
Mkuu, sometimes watu kama hao ni kuwapotezea tu. Ukijaribu kumwambia atakuporomoshea matushi makali, na usipo tulia hata mama yako atatukaniwa viungo vyake vya uzazi pia. Sasa hapo aibu ya nani?Duh! hakuna hata mtu aliyeamua kumsemea hovyo huyu binti!?