Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,810
- 5,043
Hwuuh! Unashangaa hayo? Shangaa wapaka rangi kucha, utakuta mwanamke kamnyanyulia mguu mpaka rangi huku mkono mmoja kashikilia kanga kuziba pale kati, mara anaachia kanga paap! Kabati linakuwa wazi na vyombo vyote ndani vinaonekana!
Sasa hapa nani alaumiwe kama si kumrusha roho mpaka rangi? Shangaa nyingine kwenye kwenye usafiri wa kusimama ndani ya basi, unakuta mwanamke makalio yake yote kakugeuzia na yanagusa sehemu nyeti joto kama lote linatua mzigoni.
Jamaa mapigo ya moyo yanaanza kwenda kwa kasi, huo uchafu aliojichafua kwa kukandamizwa na makalio sio wa nchi hii! Kama unaona machinga wana tabia hiyo ni kuwaepuka tu
😁 ikawaje sasaNilienda kucheza mpira na sketi bila kuvalia track ndani Nikapewa salamu kuwa nawatega nivae tu manguo yangu ya kilasiku 😂😂😂 Tena Kwa kuchambwa kwani kilasiku unavaa track ndefu Leo utuvalie kiskert dada 😂😂😂na hapo nilivalia nguo ndani na soks ndefu lakin wanaume 😀 nilijuta
Half american
Tareek
pole sana aiseeWe ndo kama mm,sipapend pale kuna karaha tupu,mara ya mwsho kukanya nahisi hata miaka 10 imefka kwa jinsi nnavopachukia.
Last nlishkwa nyonyo ndo ilkua mara ya mwsho me kukanyaga soko lile.
Asante sanapole sana aisee
unaonekana hip hop kweliKusuguliwa kucha hapana, naona kinyaa, yaani mtu mikono yake inasugua kucha za kila mtu halafu na mimi nimuwekee miguu yangu kana kwamba mie kilema, hapana huwa nanunua vifaa vyangu najisafisha mwenyewe na kujipaka rangi
Wale vijana sijui hata hygine yao ipoje, huwa hawavai hata gloves, na hawachukui pre cautions wanapodeal na wateja, imagine yeye anaosha miguu ya machangudoa, mashangingi na aina mbalimbali za watu kwa kutumia kibeseni hichohicho, mikono hiyohiyo ambayo hata hatumii gloves, na vifaa hivyohivyo, halafu na wewe unaenda unaweka miguu yako hapo
Inasaidia sana tuu. Hao wanaoshikwa ni kwamba wameystaka wenyeweHuenda inasaidia kias
Aise kumbe kuna kazi zinakuoa fursa za kuchakata mbususu kiulainiPale Karume kuna wanao tafunwa kabisa sio kushikwashikwa tu!!!!Wale wanaokwribishwa nguo mule ndani wengi huishia kuliwa...
Huo ujinga maana unaenda kumtia aibu tu,ukivaa Kwa heshima hakuna lolote litatokea,akivaa hovyo hata uwe naye,miluzi na maneno ya kejeri ni aibu tu Kwa mwanaumeNenda na mwanaume, hawatathubutu kukushika, utaskia shemeji hii inakutosha kwa mbali sana na kwa adabu.
Wanawake wengi hawajielewi.Uko sahihi kabisa,mtu anavaa unajiuliza katoka home au kujiuza
Na akivaa hivyo wahuni wanamdanganya umependeza, kumbe wanamchora tu na kesho anazidisha kuvaa ovyo zaidi, yaani akiwa anasifiwa sifiwa kinafiki anadhani ni kweli........Wanawake wengi hawajielewi.
Mtu anavaa nguo inabana kichizi afu fupi anategemea nini?
Chupi hawavai siku hizi
Matako makubwa anayatetemesha makusudi afu ategemee kusamehewa kushikwa.
Wanawake wanajirahisisha wenyewe kuanzia kwenye kucha
Kuna wanawake hatuvai hovyo bado tunashikwa shikwa thaman yetu tunaishusha vipi?thamani mnaishusha wenyewe, ikishushwa mnalalamika.... unalaumu kushikwa wakati huohuo unaenda kushikwa na mtu wa kucha anapanda nayo hadi kwenye upaja na husemi kitu.... Haya me nipo upande wa machinga na wapiga debe tuseme wao ndo haohao wapaka kucha rangi na ndo mshawazoesha tulieni mlambe dawa.
🤣🤣 Pole sanaNaunga mkono hoja.
Kuna siku wapiga debe walinigombania khaaaa niliondoka nanukia kibeberu.
Sijui hawaogagi.
Wanawake 90% wanajishushia heshima, hizo 10% za nini... Wengi wape.Kuna wanawake hatuvai hovyo bado tunashikwa shikwa thaman yetu tunaishusha vipi?
Kwenye kucha ni wanawake wote wanaenda huko? Na hata wanaoenda huko kuna wanawake wanajiheshimu haruhusu kushikwa huko mapajani unaposema. Acheni kuwatetea vijana wa hovyo.
Sent using Jamii Forums mobile app