Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
Wakati Meya Kimbisa akitangaza kuwa jiji lingejenga majengo kwa ajili ya machinga kwa gharama za bilioni kumi, sikuamini kama hilo lingewezekana (japo kweli liliwezekana). Hii ilikuwa kwenye miaka ya 2008 hivi.
Leo, ten yrs down the lane, wamachinga wameyakimbia majengo yao na kwenda 'kudanga' mabara barani mule ambapo walikuwa wanalalamikia mazingira magumu ya kazi.
Sasa kwa kuwa mradi huu ushafeli, naona ipo haja ya jiji kubadilisha matumizi ya majengo haya ikiwa ni pamoja na kuyageuza kuwa maofisi, ma appartment au hata ikiwezekana wayauze majengo haya kwa chuo cha CBE au IFM ili yafanywe kuwa hostels.