O OTL Member Joined Nov 22, 2012 Posts 39 Reaction score 3 Jan 11, 2013 #1 Habari wanajamvi. Naomba msaada anayejua contact za maxmalipo au walipo. Na namna ya kuweza kupata machine zao. Asante
Habari wanajamvi. Naomba msaada anayejua contact za maxmalipo au walipo. Na namna ya kuweza kupata machine zao. Asante
Munambefu JF-Expert Member Joined Jun 24, 2012 Posts 2,916 Reaction score 7,441 Jan 11, 2013 #2 Wapo makumbusho kwenye ktk mojawapo ya zile gorofa mpya pale kituoni,nenda na laki tisa yao mkuu
Munambefu JF-Expert Member Joined Jun 24, 2012 Posts 2,916 Reaction score 7,441 Jan 11, 2013 #3 Wapo makumbusho ktk mojawapo ya zile gorofa mpya pale kituoni,nenda na laki tisa yao mkuu
W wakomong'we Member Joined Oct 28, 2011 Posts 30 Reaction score 2 Jan 11, 2013 #4 wapo makumbusho,milenium tower 1st floor, bei ya mashine ni 524000 kachukue
O OTL Member Joined Nov 22, 2012 Posts 39 Reaction score 3 Jan 11, 2013 Thread starter #5 Asanteni wadau. Ipi ni bei halis laki tisa au tano? Naomba msaad ili niende nikiwa kamili.
amkawewe JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 2,021 Reaction score 528 Jan 30, 2013 #6 OTL said: Asanteni wadau. Ipi ni bei halis laki tisa au tano? Naomba msaad ili niende nikiwa kamili. Click to expand... kati ya selcom na maximalipo ni nani ana faida zaidi?
OTL said: Asanteni wadau. Ipi ni bei halis laki tisa au tano? Naomba msaad ili niende nikiwa kamili. Click to expand... kati ya selcom na maximalipo ni nani ana faida zaidi?
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 57,956 Reaction score 134,037 Feb 11, 2013 #7 Munambefu said: Wapo makumbusho ktk mojawapo ya zile gorofa mpya pale kituoni,nenda na laki tisa yao mkuu Click to expand... wakomong'we said: wapo makumbusho,milenium tower 1st floor, bei ya mashine ni 524000 kachukue Click to expand... Wakuu naombeni mnijuze pia ni jinsi gani huduma hii inalipa kwa mjasiriamali
Munambefu said: Wapo makumbusho ktk mojawapo ya zile gorofa mpya pale kituoni,nenda na laki tisa yao mkuu Click to expand... wakomong'we said: wapo makumbusho,milenium tower 1st floor, bei ya mashine ni 524000 kachukue Click to expand... Wakuu naombeni mnijuze pia ni jinsi gani huduma hii inalipa kwa mjasiriamali
Buchanan JF-Expert Member Joined May 19, 2009 Posts 13,192 Reaction score 1,976 May 3, 2013 #8 wakomong'we said: wapo makumbusho,milenium tower 1st floor, bei ya mashine ni 524000 kachukue Click to expand... Naomba contact zao mkuu!
wakomong'we said: wapo makumbusho,milenium tower 1st floor, bei ya mashine ni 524000 kachukue Click to expand... Naomba contact zao mkuu!
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,933 Reaction score 34,912 Jul 3, 2013 #9 Confused
mpasuajipu99 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 678 Reaction score 120 Jul 3, 2013 #10 OTL said: Habari wanajamvi. Naomba msaada anayejua contact za maxmalipo au walipo. Na namna ya kuweza kupata machine zao. Asante Click to expand... Wapo Millenium Tower Makumbusho nadhani ghorofa ya pili
OTL said: Habari wanajamvi. Naomba msaada anayejua contact za maxmalipo au walipo. Na namna ya kuweza kupata machine zao. Asante Click to expand... Wapo Millenium Tower Makumbusho nadhani ghorofa ya pili