Machine za kutengeneza school chalks

habari wakuu ninahitaji mashine ya kutengeneza chalk.either iwe manual au auto.
au kama kuna fundi anaeweza kunitengenezea hii chalk mould

SCHOOL CHALK MACHINE ON SALE

DESCRIPTIONS:
Ina Blocks 6 za Kutengeneza Chaki kila Block ina Matundu 800 (6 Moulds);

Ni Semi-Automatic (Ina Motor ya kufanya Mixing ya Raw materials pamoja na Maji Automatically;

Ina OVEN KUBWA ya Kukausha CHAKI baada ya kutoa kwenye Block/Moulds

Eneo ziliposimikwa Mashine limekodishwa hivyo unaweza kuendelea kulipia kodi ama kuhamisha mashine zako;

KWA MAELEZO ZAIDI,
CONTACT: 0767 235923.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…