masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,728
- 16,477
kwanini?Mtatumalizia mihogo mtaani
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
kwanini?
heeh kumbe ni mihogo, sio chokaa?Si ndo malighafi ya chaki
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela







heeh kumbe ni mihogo, sio chokaa?
ndio najua leo hili la mihogo
acha uhuni chief
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela

acha uhuni chief![]()
kwahiyo mihogo inasagwa inatengenezwa chaki....huo ni uharibifu wa chakula sasaMkuu chaki za mihogo zinaandika vizuri kinyama
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Kwakweli kumbe ndio maana njaa haiishi......kwahiyo mihogo inasagwa inatengenezwa chaki....huo ni uharibifu wa chakula sasa
kwahiyo mihogo inasagwa inatengenezwa chaki....huo ni uharibifu wa chakula sasa
unaweza kusoma ukiwa na njaa?Mkuu nafuu upate elimu ukose chakula
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
unaweza kusoma ukiwa na njaa?
okayBila elimu huwezi tafuta chakula
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Shingapi?
wa dar wanatengeneza kwa scale kubwa sana sijajua hao wa mosh.unaweza ukanichekia?
hahahahah nyie watu kuweni siriazacha uhuni chief![]()
inahitaji ujuzi mkuu.Utengenezaji wa hii mashine haitaji utaalamu mwingi,ata mafundi wa kuchomelea wanaweza kukutengenezea.