Peculiar
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 821
- 689
Habari waungwana!
Kuna jambo moja huwa nalifikiria kila misiba inapotokea, sijui labda ni uvivu wangu na haraka zangu,
Huwa naona tunatumia nguvu nyingi sana kuchimba makaburi kuwahifadhi wanaotutangulia. Unakuta wanaume zaidi ya 50 mnachimba kaburi 1 kwa masaa matano mpaka 6.
Mnamaliza mmechoka hoi!
Huwa najiuliza,hivi hakuna machine za kuchimbia makaburi, Walau Kila mtaa ukajichanga na kununua Walau moja, ili kaburi liwe linachimbwa walau kwa lisaa limoja?
Kama Hamna, mafundi Wetu hawaioni kuwa ni fursa na ni biashara kubwa kwao!
Wale wanaokwendaga ughaibuni, hivi huko nako wanachimbaga makaburi kwa sururu na jembe?