Mkuu uko wapi?kama upo Dar,nenda hapo njiapanda ya kunduchi,kuna petrol station ya CAMEL,ulizia pale kuna mafundi ya kuchonga vipuri,mm walinichongeaga kimashine kwa shs 25,000 kwa kimoja,ila mafund walipomaliza kaz wakasepa nacho.nimekiangalia kwenye tools zangu hakipo.