Mkuu uko wapi?kama upo Dar,nenda hapo njiapanda ya kunduchi,kuna petrol station ya CAMEL,ulizia pale kuna mafundi ya kuchonga vipuri,mm walinichongeaga kimashine kwa shs 25,000 kwa kimoja,ila mafund walipomaliza kaz wakasepa nacho.nimekiangalia kwenye tools zangu hakipo.
Asante. Unaweza kutulezea hizo aina and bei.
Miye nataka herringbone pattern za concrete.
Mkuu niliongea na fundi akaniambia wanatengeza Complete kwa elfu 80. Sasa nikashindwa kuendelea kumhoji maana ya hiyo Complete maana salio lilikata. Labda kama unaweza kuwasiliana naye nikutumie namba yake maana anaishi Mbezi Beach.