Machimbo ya biashara za nywele za wanawake

Machimbo ya biashara za nywele za wanawake

mkui

Senior Member
Joined
Jun 7, 2018
Posts
103
Reaction score
98
Naomba kujuzwa mahali nitakapopata nywele za jumla za wanawake kama darling, jambo na masai braid ili na mimi niziuze kwa jumla naomba kujua carton ni kiasi gani? Wataalam wa hii biashara naomba mnijuze mimi niko moshi
 
Back
Top Bottom