Machemli Aibwaga Serikali Kortini

Machemli Aibwaga Serikali Kortini

Wanaojua vizuri naomba wanisaidie kujua tofauti iliyopo kati ya Makaburu na Polisi wa CCM.
 
Huyi jamaa nimetoka onapicha zake chafu muda huu huu. Nilikuwa simjui nashangaa hukutena.. haya. Picha chafu zaidi ya zile za Komba zimezagaa mitandaoni. Huu mwaka wa watu kuaibika hadharani. Hivi hizi pichi wanajipiga ama wanategeshewa?
 
naunga mkono uchambuzi wa kina na vina
Ifike mahali twende mbele zaidi, badala ya kushangilia "ushindi" au kumshukuru mungu kwa kutenda "mema", tutumie akili zetu vyema. Baada ya Polisi kushindwa kesi hiyo ya uchochezi ndugu machemli afunge kesi mahakamani ya kudai findia kwa kubambikiwa shitaka lisilokuwepo.

Napendekeza fidia hiyo iwe kama anayodai Manji kwa Mengi. Hii itasaidia kuwadhibiti Polisi ambao hufanya kazi kama Roboti kwa kufahamu kwamba kesho wakifungua kesi za aina hiyo watafikishwa mahakamani kulipa fidia kutokana na madhila ambayo wamekuwa wakiyatekeleza kwa wananchi.

Nategemea Ndugu Machemli, ambaye ni kiongozi kuongoza njia kwa hjili kwa kufungua shauri la kutaka fidia n sio kushangilia "ushindi" kuwa amewabwaga polisi mahakamani, maana yake kesho watamtafuta kwa namna nyingine na kuendeleza mchezo wa paka na panya.
 
Huyi jamaa nimetoka onapicha zake chafu muda huu huu. Nilikuwa simjui nashangaa hukutena.. haya. Picha chafu zaidi ya zile za Komba zimezagaa mitandaoni. Huu mwaka wa watu kuaibika hadharani. Hivi hizi pichi wanajipiga ama wanategeshewa?

weka hadharani tujjue kama ni photoduka au lah
 
kwenu nyinyi haki ni pale inapokuwa favour kwenu tu, lakini hapo angetiwa hatiani mngelalamika kuwa haki haijatendeka. wapuuzi kabisa nyie,

Mungu akiwa upande wako nani wakushindana nawe?

Peopleeeeeeeeeeee.........:
 
kwenu nyinyi haki ni pale inapokuwa favour kwenu tu, lakini hapo angetiwa hatiani mngelalamika kuwa haki haijatendeka. wapuuzi kabisa nyie,
Wewe ni Abunuas kweli,hivi wewe unadhani wakorofi ni chadema tu?, polisi ambao hutumwa tu na elimu zao ni fiv failure,hawana critics on any thing,ccm mbinu hii ilikuwa ya Makaburu,hivi ANC ccm mnasemaje ni chama tawala cha kigaidi?
Rais Mwinyi alipoteuliwa mwaka 1985/8/15 alisema" baada ya Nyerere mwl tutakuwa na mbinu tu si uongozi bora"
Hicho wanachofanya ccm ni mbinu tu mojawapo ni hizi kama michezo ya Hollywoord!
 
Huyi jamaa nimetoka onapicha zake chafu muda huu huu. Nilikuwa simjui nashangaa hukutena.. haya. Picha chafu zaidi ya zile za Komba zimezagaa mitandaoni. Huu mwaka wa watu kuaibika hadharani. Hivi hizi pichi wanajipiga ama wanategeshewa?

dah mkuu hata mimi nimeziona sjui inakuwahe hii ishu ya izi picha chafu kusambaa mitandaoni kweli siasa mchezo mchafu
 
sitaki kusikilaza upumbavu wako huu hapa. uongozi wa nyerere upi unaoungelea? ule uliotuacha tukivaa matairi ya magari miguuni? tukipanga foleni za kununua chumvi, mafuta ya taa na sabuni kwa tabu isiyokifani? tukiwa hatuna shule za kutosha wala vyuo? utakuwa na matatizo wewe, kwenye hiyo coconut yako juu ya shingo.
kwa taarifa yako nyerere ndo muasisi wa matatizo yote tuliyonayo waTz.

Wewe ni Abunuas kweli,hivi wewe unadhani wakorofi ni chadema tu?, polisi ambao hutumwa tu na elimu zao ni fiv failure,hawana critics on any thing,ccm mbinu hii ilikuwa ya Makaburu,hivi ANC ccm mnasemaje ni chama tawala cha kigaidi?
Rais Mwinyi alipoteuliwa mwaka 1985/8/15 alisema" baada ya Nyerere mwl tutakuwa na mbinu tu si uongozi bora"
Hicho wanachofanya ccm ni mbinu tu mojawapo ni hizi kama michezo ya Hollywoord!
 
Machemli ndiyo nani mbona hili jina geni halafu la ajabu sana ndiyo yupi mwigiza au mwimbaji?
Na wewe kwa kujishaua hujambo! unataka kuzuga hapa kwamba humfaham baba yako wa kufikia! basi mama yako baada ya kuachwa na baba yako mzazi, alienda kuishi na huyu jamaa na ndie huyo aliye kupeleka shule.
 
Ifike mahali twende mbele zaidi, badala ya kushangilia "ushindi" au kumshukuru mungu kwa kutenda "mema", tutumie akili zetu vyema. Baada ya Polisi kushindwa kesi hiyo ya uchochezi ndugu machemli afunge kesi mahakamani ya kudai findia kwa kubambikiwa shitaka lisilokuwepo.

Napendekeza fidia hiyo iwe kama anayodai Manji kwa Mengi. Hii itasaidia kuwadhibiti Polisi ambao hufanya kazi kama Roboti kwa kufahamu kwamba kesho wakifungua kesi za aina hiyo watafikishwa mahakamani kulipa fidia kutokana na madhila ambayo wamekuwa wakiyatekeleza kwa wananchi.

Nategemea Ndugu Machemli, ambaye ni kiongozi kuongoza njia kwa hjili kwa kufungua shauri la kutaka fidia n sio kushangilia "ushindi" kuwa amewabwaga polisi mahakamani, maana yake kesho watamtafuta kwa namna nyingine na kuendeleza mchezo wa paka na panya.
Naunga mono lkn nadhani anatakiwa adai fidia kubwa ili fidia hiyo itatue kero kkadhaa za wananchi kama afya, maji
 
Back
Top Bottom