Machame kwetu

Machame kwetu

Joined
Feb 8, 2012
Posts
29
Reaction score
24
Najivunia tanzania yangu. Zaidi najivunia kuzaliwa kulimanjaro
but zaidi najivunia kuwa machame
wanajanvi je una like ulipozaliwa au asili yako?
 
haya tumekusikia endelea kujivunia kwenu mkuu
 
Kuna mtu aliwahi kuweka uzi hapa akiwataka dada wa KIMACHAME wajisafishe maana wamezidi kulalamikiwa mno katika swala zima la ndoa na mahusiano.

Labda ungejibu kuhusu hilo kwanza kama walishajisafisha?
 
soma lengo la uzi wake uelewa siyo kumuuliza maswali, kama vipi anzisha uzi wako uulize hayo maswali yako!!
 
Kuna mtu aliwahi kuweka uzi hapa akiwataka dada wa KIMACHAME wajisafishe maana wamezidi kulalamikiwa mno katika swala zima la ndoa na mahusiano.

Labda ungejibu kuhusu hilo kwanza kama walishajisafisha?

Afu mimi na wewe bado hatujamalizana. Ukae ukijua kabisa.
 
Najivunia tanzania yangu. Zaidi najivunia kuzaliwa kulimanjaro
but zaidi najivunia kuwa machame
wanajanvi je una like ulipozaliwa au asili yako?

check on red is in kenya or which part of the world? kindly clarify!
 
wanakuita scotland ukiwa njiapanda ya machine tools
ni sehemu tulivu sana machame!! nakumbuka those school days visiting machame girls!!

Ila hii issue ya wanawake wa kimachame inatisha, inabidi mtoa hoja aje atufafanulie maana kuoa kule lazima uwe na moyo wa ujasiri.

By the way mlio karibu nasikia Kilimanjaro machine tools imekuwa godawn la mahindi na pumba ni kweli?
 
Na vipuri tumeshagawana long time, lile eneo la nje sasa hivi tunalima mchicha.
 
ni sehemu tulivu sana machame!! nakumbuka those school days visiting machame girls!!

Ila hii issue ya wanawake wa kimachame inatisha, inabidi mtoa hoja aje atufafanulie maana kuoa kule lazima uwe na moyo wa ujasiri.

By the way mlio karibu nasikia Kilimanjaro machine tools imekuwa godawn la mahindi na pumba ni kweli?

kama vip kwani lazima muoe machame?
nendeni hata iramba kule ni maharage ya mbeya.
_ila kama unataka maendeleo oa machame
eka mae
 
Najivunia tanzania yangu. Zaidi najivunia kuzaliwa kulimanjaro
but zaidi najivunia kuwa machame
wanajanvi je una like ulipozaliwa au asili yako?
Wajivunia nini hasa? Ungeweka vipicha viwili vitatu vyenye mandhari maalumu ya kupendeza eg a building, a panoramic view, a social gathering with calabashes of the prime brew - mbege, etc. ningeelewa kujivunia kwako. Wee waleta blah blah unasema wajivunia?
 
Na Mimi najivunia machame kwetu,nikitaka kupumzika naenda huko Ni burudani tupu.Mnakaribishwa machame kwa kweli
 
Back
Top Bottom