Imenichukua muda kuamini matokeo ya wazalendo hawa tena nikiwa bado nina machungu ya kupoteza jembe lile Filikunjombe ghafla yanakuja haya.
Majembe msilale ikibidi tuwaone tena 2020 mjengoni kiasi nimefarijika na Uwepo wa Halima mdee, John mnyika na hata Bw Kubenea, bado twamsikilizia na kumwombea ushindi Mh Kafulila