Machali, Mkosamali na Wenje, tutawamiss sana Bungeni

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Imenichukua muda kuamini matokeo ya wazalendo hawa tena nikiwa bado nina machungu ya kupoteza jembe lile Filikunjombe ghafla yanakuja haya.

Majembe msilale ikibidi tuwaone tena 2020 mjengoni kiasi nimefarijika na Uwepo wa Halima mdee, John mnyika na hata Bw Kubenea, bado twamsikilizia na kumwombea ushindi Mh Kafulila
 
machali alidanganywa na zzk akakurupuka. kumbuka kuna watu wa nccr walimchukia na kura wakampa ccm
 
Mwz ilikuwa ni utawala wa KIJESHI sijwahi kuona na
Tanzania hatuna cha kujivunia kuhusu DEMOKRASIA
 
Siwezi kummisi huyo mjaluo...
Alipanda jukwaani akaomba ubunge kwa kiswahili, tukamwelewa tukampa jimbo, alipofika bungeni akaanza kuongea kingereza cha kijaluo... Shabashhhhh aende akavue samaki
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom