Mbunge wa jimbo la Kasulu mjini alohamia ACT kutoka NCCR-MAGEUZI amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukabiliwa na zomeazomea na maswali kutoka kwa wananchi wa kijiji cha Sunuka jimbo la Kigoma Kusini kwa Kafulila.
Hayo yalitokea baada ya Machali kueleza kuwa amehama NCCR kwasababu ni chama cha hovyo na hata wabunge waliobaki ni mafala kwa watu wa Kaskazini.
Machali alisisitiza kuwa mbunge wenu Kafulila ni ---- wala hana ujanja wowote ndio mana amebaki na hoja ya ESCROW wakati jimbo limemshinda.
Akiulizwa maswali, wa kwanza alitaka kujua kwanini jimbo la ---- limepata lami wakati lake halina lami hata mita moja?
Swali la pili akaulizwa kumbe Kafulila ni ---- ndio mana alikutetea usipigwe mawe baada ya kumpiga baba yako makofi hadi kutapika kama ilivoripotiwa radio Kwizera?