Machache kuhusu Meli ya Titanic

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,338
Ilikuwa meli ya ki-British ya kusafiria abiria ambayo ilizama kaskazini mwa bahari ya atlantic 15 april 1912 ikitokea Southampton kwenda New York city

Kulikua na abiria takribani 2224 na wafanyakazi

YAFUATAYO NI MACHACHE KUHUSU MELI HIYO

1. SWIMMING POOL
Titanic ndiyo ilikua meli pekee ya pili duniani kuwa na swimming pool ambalo maji ya baharini yalichemshwa na mashine,hivyo watu walioga maji ya moto,ila ni first class tu

2. MOYO WA BAHARI
Unaikumbuka ile cheni ya almasi kwenye movie ya Titanic? Ni kisa cha kweli

"The heart of the ocean" kama ilivyoitwa cheni hiyo ya bluu ya almasi alipewa kate florance phillips na mpenziwe ambaye alikua ameoa, bwana Samuel Morley, wapenzi hawa walikuwa wakienda Marekani kuanza maisha mapya

Lakini Morley kama Jack wa kwenye movie alikufa meli ilipozama

3. Meli ya Titanic ilipogonga bonge la barafu ilikaa maa mawili na nusu bila kuzama

4. Abiria wengi walishawishika ama kuamini kua meli hii haikuwezekana kuzama "unsinkable" hivyo kupuuzia tarifa kua meli imegonga barafu, wakaendelea kucheza na kula

5. Bei ya nauli ya Titanic ilikua ni $4700 kwa sasa ni sawa na dola laki tano, sawa na tsh 1,127,307,427

6. Mtu mmoja aitwaye Charles Joughin aliweza ku-survive maji yenye ubaridi wa 31 kwa sababu alilewa mno kabla meli haijazama

7. Watu laki moja walikwenda kushuhudia uzinduzi wake, May 31, 1911

8. Wakati wa miezi 26 ya ujenzi wake watu 246 waliumia na wawili kufariki

9. John Jacob ndiye alikua abiria tajiri zaidi kwenye meli hiyo$85 mil $2 billion ya leo

10. Watu wengi walikua na ticket za kusafiri na Titanic siku ilipozama, lakini hawakutaka kusafiri, akiwemo MILTON HERSHEY na ALFRED GWYNNE aliyekufa miaka mitatu baade kwenye meli ya RMS Lusitania (huyu ni kama aliandikiwa kufia baharini)

11. Meli hii ilipewa tahadhali za barafu kubwa mara sita katika siku hiyo, kabla ya kugonga barafu

12. Wanamuziki wali perform kwa masaa mawili yote huku wakiona kabisa meli inazama.
 
Waliyoitengeneza walisema kuwa even God couldn't sink it. Lakini wakafail
 
Naongezea kidogo, Milvina Dean ndie aliyekuwa abiria mwenye umri mdogo katika wale waliopona, alikuwa na miezi miwili wakati meli ikiwa inazama, Pia Milvina Dean ndie mtu wa mwisho kufa katika wale abiria waliopona kwenye meli ya Titanic, alifariki 31 May 2009, akiwa na umri wa miaka 97

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Asante kwa nyongeza
 
Back
Top Bottom