Macelebu Wa Bongo

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Macelebu wengi wa bongo hasa wanaume, pamoja na ustaa wao wa kuchukua totoz kali, wamejikuta wameoa wasichana ambao si wakali kivile.
 
Kuna imani kuwa ukioa hao wakali unaolea wenzako, sina uhakika wakaka watasema..
 
wakali ndio nini tena ..kila mtu na wake aliyepangiwa ikifika mwisho wa siku unajinyakulia mwanakondoo wa moyo wako.
 
wakali ndio nini tena ..kila mtu na wake aliyepangiwa ikifika mwisho wa siku unajinyakulia mwanakondoo wa moyo wako.


Sa ndo ushindwe hata kutoka nae kwenye cocktail pati.
FL we fuatilia kwenye masherehe ya voda,tigo, miss tanzania, sijui kili music award waalikwa wengi ambao wanaaminika kuwa ndo wana- run the city hawaandamani na waubavu wao. Na kama akiandamana nae body language yake inakuwa inamuhukumu hasa pale anapolinganisha na totoz zilizomo mule ukumbini.
 
Sikuzote watu wanapofanikiwa Wanaangalia nani alianza nae tokea alipokuwa hana kitu angalia ( Denzel,LLcoolJ,JaRule,Samuel L Jackson,TI...to name a few). Kwa hiyo wakati wanachakarika hao ndio walikuwa wanawakubali au ligi yao.
 
Back
Top Bottom