Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Heaven on earth naona ile dedikesheni imekugusa panapo!!!!
Hahahahaha mna agenda ya siri wewe na Excellent.. figganigga njoo uone huku
Tenaaaaa...Nimeshangaashangaa nikasepa nikakuoneaa wivu how lucky you are :A S 12:hahaaa kumbe na wewe uliiona best angu
Heaven on earth naona ile dedikesheni imekugusa panapo!!!!
Hubby wangu atani ufoo saro akipita huku ujue.......
aaaaaaah sasa mambo gani ya kuharibiana
Mzima tu...nipe mpya zako!Poa mpenzi...mzima wewe?
Mzima tu...nipe mpya zako!
Kweli jamani hata za ckukuu!!Ah mpya sina zote mitumba lol
Kweli jamani hata za ckukuu!!
Tenaaaaa...Nimeshangaashangaa nikasepa nikakuoneaa wivu how lucky you are :A S 12:
Kweli jamani hata za ckukuu!!
Ha ha ha we mchokozi!!hahaaa hapo umemuweza mimi49 lol
Jamani we ulikuwa ukivaa mitumba lol!!!unakumbuka utoto ikifika sikukuu wataka Ready made....ka hujanunuliwa sasa