In Shaa AllahMwenyezi mungu atujalie kufika hapo mahali patakatifu. INSHANLAH!
In Shaa AllahNi sehemu ambayo hukusanya idadi kubwa ya watu wote ulimwenguni kila taifa hufika mahali hapo,mungu nijalie niwe miongoni nifike hapo.
Huyo jiwe kati si nasikia ni shetani mnampiga mawe, sasa kwa nini mnamuweka shetani mahali patakatifu!? Ni swali tu nataka kujua.Mwenyezi mungu atujalie kufika hapo mahali patakatifu. INSHANLAH!
Sehem anayopigw mawe shetan iko mbl sn n hapo.Huyo jiwe kati si nasikia ni shetani mnampiga mawe, sasa kwa nini mnamuweka shetani mahali patakatifu!? Ni swali tu nataka kujua.
Rudi shuleKwa geograpy ipi!?
Nani amekwambia
Hapo ndo center ya Dunia
Nini faida yake katika maisha yakoNi sehemu ambayo hukusanya idadi kubwa ya watu wote ulimwenguni kila taifa hufika mahali hapo,mungu nijalie niwe miongoni nifike hapo.
Tb joshuaNani amekwambia
Mkuu SI, nikujuze ili tuwe na uhakika wakuridhika nje ya uwezo, bila kubishana....
Images for kaaba center of earthView attachment 334676
View attachment 334677
View attachment 334679
View attachment 334678
More images for kaaba center of earth
New studies show al-Kaaba as the center of the world
english.alarabiya.net › Web TV
Jul 23, 2012 - New scientific studies proved that al-Kaaba is the center of the world because its four corners point exactly towards the four cardinal directions of the compass, therefore, every corner is called after the direction it points to. ... The Eastern corner carried different names but ...
Kinyungu
Abastian
Jimbo
The Elephant Hapo Jinsia zote na mataifa yote yanaruhusiwa kushiriki ibada na kuzunguka anticlockwise mara 7 !! (madamu umetahiriwa na kumkubali mungu ni mmoja)
Mambo ya madhehebu fulani/juu ya madehehebu fulani hapo hayana nafasi/mshiko!!
karibuni sana
Ivi kwa mfano kukishakua katikati ya dunia,then what?? Unapata faida gani??Mkuu SI, nikujuze ili tuwe na uhakika wakuridhika nje ya uwezo, bila kubishana....
Images for kaaba center of earthView attachment 334676
View attachment 334677
View attachment 334679
View attachment 334678
More images for kaaba center of earth
New studies show al-Kaaba as the center of the world
english.alarabiya.net › Web TV
Jul 23, 2012 - New scientific studies proved that al-Kaaba is the center of the world because its four corners point exactly towards the four cardinal directions of the compass, therefore, every corner is called after the direction it points to. ... The Eastern corner carried different names but ...
Kinyungu
Abastian
Jimbo
The Elephant Hapo Jinsia zote na mataifa yote yanaruhusiwa kushiriki ibada na kuzunguka anticlockwise mara 7 !! (madamu umetahiriwa na kumkubali mungu ni mmoja)
Mambo ya madhehebu fulani/juu ya madehehebu fulani hapo hayana nafasi/mshiko!!
karibuni sana
Hivi waislam wangekuw wanaua kw jinc mlivyoaminisha na wazungu dunian kuna waislam bilions kwa akili yng ambayo c ya kuazimwa km zako dunia ingesahaulika sshv.tatizo letu waswahil wengi mzungu akiongea mnaona km kaongea mungu vile.hao wazungu walipiga atomic japan sio ugaid huo kumwaga dam huko iraq na palestina bado akiongea mnashabikia kw kutojielewa ndo mana mmeletew ushoga ndo mnaoutaka.bado hamjajua true color ya hawa jamaa sbb ya uvivu w kufkir na kujua dunia ikoje na inaenda vipi
Huyo jiwe kati si nasikia ni shetani mnampiga mawe, sasa kwa nini mnamuweka shetani mahali patakatifu!? Ni swali tu nataka kujua.
Nadhani kifo ni kwa binadamu na wanyama, sidhani kama shetani nae ataonja mautiHivi mawe yote hayo shetani mwenyewe mbona hafi?
Jiografia niya binadamu ila quran tukufu ndo inasema hivyo.achana na vitu ambavyo ni man made.Kwa geograpy ipi!?
Asante sana kwa somo zuri kwa wasio bahatika kuwa waislam.Mkuu SI, nikujuze ili tuwe na uhakika wakuridhika nje ya uwezo, bila kubishana....
Images for kaaba center of earthView attachment 334676
View attachment 334677
View attachment 334679
View attachment 334678
More images for kaaba center of earth
New studies show al-Kaaba as the center of the world
english.alarabiya.net › Web TV
Jul 23, 2012 - New scientific studies proved that al-Kaaba is the center of the world because its four corners point exactly towards the four cardinal directions of the compass, therefore, every corner is called after the direction it points to. ... The Eastern corner carried different names but ...
Kinyungu
Abastian
Jimbo
The Elephant Hapo Jinsia zote na mataifa yote yanaruhusiwa kushiriki ibada na kuzunguka anticlockwise mara 7 !! (madamu umetahiriwa na kumkubali mungu ni mmoja)
Mambo ya madhehebu fulani/juu ya madehehebu fulani hapo hayana nafasi/mshiko!!
karibuni sana
Jibu murua kabisa...asipokuelewa ndo basi tenaAllah akusamehe na akujaalie neema ya uislamu kabla muda wako wa kuishi duniani haujaisha,acha ushabiki na kusema mambo usiyoyajua, uislamu haupo kama unavyoufikiria wewe