Mathias1981
Member
- Jul 10, 2011
- 69
- 19
Habari zenu wakuu,naomba msaada please,mashine yangu ni MacBook Model No:A1181, inatumia OS ya Mac Lion OS X 10.7 nataka kuinstal new OS.Je, naweza kuinstall Mac OS X Mountain Lion au haipo compatible hadi nireinstall ile ya mwanzo coz kuna mtu,kaniambia Mountain Lion ni kwaajili ya MacBook Pro tu??asante.