mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,331
- 9,291
Nimeona mara nyingi,maDj,watengeneza/watayarishaji wa filamu,muziki,watu wa graphics,wachoraji ,kwenye studio za picha n.k wanatumia sana MacBook ,huwa najiuliza zina kitu gani cha zaidi ambazo hizi kompyuta zingine hazina hasa kwa kundi la wadau wa tasnia nilizozitaja hapo juu,kwa anyejua anipe mwanga,kwani hilo tunda la Lushoto naliona kama lipo spesheli vile na hata bei zake ni za kupaa,unaweza kupata vi Acer /Dell vitatu kwa hilo tunda moja.