Hayo maadobe nshaweka kama yote mkuu sasa natafuta game kama chache ivi aseeComputer kama hiyo kuishia kwenye game huitendei haki....
hiyo graphic card hiyo ukiitia maadobe na ma software ya video editing.. na hata music production inanoga sana....
Mungu akinijaalia siku nikapata computer kama hii yako, naamini nitatajirikaNna mac pro 2012
Specification
HDD 500GB
RAM 8GB
PROCESSOR 2.5 @GHZ
INTEL HD GRAPHICS 4000 512MB
hapa naweza kcheza kcheza game zipi
Na jinsi gan ya kuinstall izo games kwenye mac hasa game za football?
intel HD 4000? hio hata laki 3 unaipata.Mungu akinijaalia siku nikapata computer kama hii yako, naamini nitatajirika
Mac????? Laki 3 mkuu????intel HD 4000? hio hata laki 3 unaipata.
Mkuu, hii ya jamaa kwani haiwezi kufanya 3D animation nzuriintel HD 4000? hio hata laki 3 unaipata.
unafanya kwa budget tu, ila itachukua muda sana kukamilishaMkuu, hii ya jamaa kwani haiwezi kufanya 3D animation nzuri
Shukran mkuugames za mac utazipata hapa, mega ni links nzuri chagua hizo.
MacGames-Download | www.macgames-download.com