Madude noma sana masela.Najua hata humu JF watu wanafumua hiyo mitindo:A S 20:,lakini nendeni kwa step.Sio kila ukiwa na kidogo tu unasahau every thing,baadae unaitwa JUNKIE,baadae a minute ujapumua vema wewe kufa.Si mnakumbuka tumepoteza watu kama Brenda Fassie.