Mabus ya Kilimanjaro yakamatwa na TRA

Mabus ya Kilimanjaro yakamatwa na TRA

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,213
Reaction score
9,334
Wakuu habari,

TRA kwa mara nyingine leo asubuhi wamenyoosha rungu lao kwa kampuni ya mabus ya Kilimanjaro kwa kutokulipa kodi.

Aidha dhahma hiyo imetokea leo jijini Arusha baada ya abiria waliokuwa wamejiandaa kusafiri na mabus ya kampuni ya Kilimanjaro kurudishiwa nauli zao ili watafute usafiri mwingine.

Aidha wamiliki wa kampuni wamehaha kuhakikisha wanajiepusha na aibu hiyo kwa kuanza mchakato wa kulipa kodi. huku TRA wakiapa bado kuna mabus 500 mengine yapo njiani kukamatwa kwa kudaiwa kodi.

poleni abiria kwa kadhia iliyowapata

IMG_20170328_172820_609.JPG
 
Hhahhhaaha, hawa jamaa bhana alafu gharama zao zipo juu sana kama luxury kumbe hata kodi hawatoi?
 
wabongo hawajawahi kujiuliza kwanini hii kampuni hawanunuagi magari yaliyokamilika badala yake wananunua body tu na hivo vingine kufungwa bongo vya kuungaunga, na ni moja kati ya kampuni zinazoongoza kufunga vitu vya malori kwenye bus
Bado Tahmeed ataendelea kutamalaki sana hii route kutokana na namna anavyotoa huduma zake kwa viwango. Najua kuna watakaojaribu kufananisha Tahmeed na vibasi vingine kama klm na dar xpress
 
Back
Top Bottom