Sasa mbunge wa vunjo,dr mrema astahimili vishindo?
..Mkuu tena waheshimiwa wetu hawajatulia kabisa unajua wanakesha wapi? Kuna bar moja chafu chafu pale Dom inaitwa chako ni chako jamaa wanafunga bara bara usiku then wanaweka meza na viti mchezo unaanza. Ukipita mchana huwezi kuamini kama usiku kuna pilikapilika za waheshimiwa pale......ajabu kabisa.Wa kwetu si wale wakutoa udenda bungeni baada ya usiku kukesha baa na vimwana,kazi kulala bungeni tu.Shenzi zao
haaah haaah komba angekufa mana hiz tifu ni balaa.Mheshimiwa Komba, omba yasitokee Tz, maana .......
Bila hivyo hatuendelei mkuu.