Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,695
Wana jukwaa..poleni na majukumu
Najua bado tunafatilia taarifa mbalimbali za uchaguzi nimeona vyema niwajuze hili kutoka jijini mwanza..
Pamoja na rafu nyingi walizocheza ccm wakiongozwa na mkapa aliyeweka kambi hapa mjini kuhakikisha mwanza inarudi mikononi mwa sisiem kutimia na mengine mengi yalifanywa...tutaendelea kujuzana..
Leo hii siku ya jumanne mji mzima wa mwanza umekuwa kimya kila pande...kila group la watu ni manung'uniko tu...leo mbunge mteule alikuwa akipita hapa mjini akiwa kwa gari la wazi cha kushangaza watu wachache sana ndio wameungana nae...alikuwa akiwapungia mkono bila kujibiwa huku nyuso za kila mmoja zikiwa hazina guraha hata kidogo....watu wamekasilika sana ..bodaboda wamesema hawamtambui maana wanarudi kwenye mateso...waendesha mikokoteni ndio kabisa wanalia wanasema sasa ndio mwisho wao maana hata halmashauri inaongozwa na ccm kwa sasa kwani imepata madiwani wengi... Nikiwa katika biashara zangu kuna mteja kaja na kusema sasa hakuna kumsaidia mtu yeyote atakaye kuja kuomba msaada hapa maana haiwezekani hali ngumu na umaskini bado wanachagua ccm...wengine wameenda mbali na kusema mkienda hospital msipokuta madawa msilalamika maana mmechagua wenyewe.... Wafanya biashara wakubwa wanasema sasa mapambano yanaanza hawana furaha hata kidogo.... Mji mzima uko kimya sana ni kama hapakuwa na uchaguzi...