Mabovu ya tigo net

Mr Kicheko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
789
Reaction score
216
NDUGU WADAU MDA MREFU NIMEKUWA NIKITUMIA NET YA TIGO MAANA NDIYO ILIKUWA INABAMBA KWA SPEED HUKU UWANJA WA FISI-MANZESE BUT SIKU ZA KARIBUNI IMEKUWA MABOVU KINOMA COZ NET IMESHUKA VBY NA WAKATI MWINGINE INAKATA KATA.
nILIWASTUA MAKAO WAKASEMA ETI MKONGO ULIHARIBIKA SO MAMBO YATAKUWA MAZIMA NDANI YA SIKU 2 BUT WIKI YA PILI HII YALE YALE.
JE TATIZO HILI NI KWANGU TU AU NI KWA TIGO WOTE?
 
Ni kweli mkuu, mimi hadi nimetoa line yao, najishkiza na zantel mpaka watakapotengemaa.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Kweli kabisa mkuu.
Mimi kwangu hata kufungua page ya JF inaload weee... mpaka basi.
 
me tigo niliwatema muda mrefu mno. hata simu hivi sasa sipigi na tigo ingawa ipo hewani. Naikubali sn Vodacom
 
Mi natumia mitandao yote, muda huu ninapoandika post hii natumia line ya tigo tangu asubuhi na haijasumbuwa chochote inakimbiza kama kawaida, angalieni na hizo pc zenu pia ukute hamjazifanyia usafi miezi kibao.
 
Mi natumia mitandao yote, muda huu ninapoandika post hii natumia line ya tigo tangu asubuhi na haijasumbuwa chochote inakimbiza kama kawaida, angalieni na hizo pc zenu pia ukute hamjazifanyia usafi miezi kibao.

Yap mkuu mi mwenyewe mchakamchaka na tigo full kufanya yangu washkaj kweli wachek pc zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…