Naomba wenye namba na masiliano makoa makuu Maboto Micro finance, atusaidie.
Tunaomba balance tuwalipe madeni yenu mkononi hamtaki mnataka kumshikiria mteja ili iweje, hamjui dunia ya leo ni soko huru la kukopeshana, taasisi ni nyingi na masharti nafuu, sasa unaombwa balance unasema balance hadi siku tisini.
Ukienda NMB na CRDB Bank, ukiomba balance unapewa ndani ya masaa 24, imetoka, mnatunyanyasa kwa kuwa ni taasisi ya mbunge au?
Hapana tupeni balance zetu tuhame.