Maboresho ya Tunduma

Wenzio wanabomoa kuta wewe unawaza kujenga kuta,polisi,uhamiaji na jeshi Wana kazi Gani mpaka uanze kujenga kuta,unarudi nyuma badala ya kwenda mbele
 
Wenzio wanabomoa kuta wewe unawaza kujenga kuta,polisi,uhamiaji na jeshi Wana kazi Gani mpaka uanze kujenga kuta,unarudi nyuma badala ya kwenda mbele
Ukuta utazuia magendo mengi sana ambayo yanaipotezea serikali mapato yake
 
Yaani very rough......

Ukitotokea Mbeya kama unaingia mjini ndo unaweza kuona jinsi mji ulivyokaa hovyo hovyo......

Sijui mipango miji wako wapi pale πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukweli ni kwamba viongozi waliopo madarakani ni kama wameshindwa kusimamia mipango miji
 
Kwenye custom kutakuwa na mageti 20 kwa mda mmoja yatakuwa yanahudumia magari ili kupunguza mda wa magari kusubiria kwenye foleni
Kwa hio custom ya sasa itabidi uibomoweau utaitanua tu? Na vipi wazambia wataweza kuhudumia magari yaliopita hivo kwa mpigo?
Wazo la kujenga ukuta wa 50km achana nalo binafsi litaniumiza sana.

Zingatia ushauri wangu mimi Mpiga kura wako.
 

Tunahitaji kuwa na uwekezaji wa maana
 
Kutajengwa ukuta wa km 50 (km 25 upande wa kaskazini na km 25 upaΓ±de wa kusini) ili kudhibiti biashara za magendo ambazo zinaipotezea serikali mapato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…