Tunduma ni border kubwa kwa Tanzania hili halina ubishi ila changamoto kubwa ya Tunduma iko-disorganized sana ni chaos hii hali haitakiwi kuendelea hata kidogo
Yafuatayo ni maboresho ya Tunduma ntayafanya nikiwa Rais wa Tanzania
- Barabara kuanzia vwawa mpaka tunduma zitajengwa Lane 8 (mbili za malori kwenda na mbili za magari ya kawaida kwenda, na mbili za malori kurudi na mbili za mabus ya kawaida
- Mji utapimwa kisasa
- Maji kwa matumizi ya binadamu yatakuwa ya uhakika na masafi tufahamu tunduma inachangamoto ya kipindupindu
- Kwenye custom kutakuwa na mageti 20 kwa mda mmoja yatakuwa yanahudumia magari ili kupunguza mda wa magari kusubiria kwenye foleni
- Mji utakuwa na zoning unavurugu sana
- Kutajengwa ukuta wa km 50 ili kudhibiti biashara za magendo ambazo zinaipotezea serikali mapato
- Kwenye maeneo ya mji kutapigwa paving ili kusiwe na kero ya vumbi ambayo ni moja ya changamoto kubwa ya Tunduma
Naamini haya mabadiliko yatakuwa na tija na faida kwa nchi