MADAM T JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 6,230 Reaction score 3,942 Oct 26, 2015 #41 92Ubuntu said: Hii funika kombe mwanaharam apite mwisho mwaka huu ,wale Watawaliwa wameamka tena, ''haki itaonekana tu hata kwa tochi''.. Click to expand... Kabisa kabisa
92Ubuntu said: Hii funika kombe mwanaharam apite mwisho mwaka huu ,wale Watawaliwa wameamka tena, ''haki itaonekana tu hata kwa tochi''.. Click to expand... Kabisa kabisa
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,214 Reaction score 28,133 Oct 26, 2015 #42 Dunia inaangalia..!!
Hakikwanza JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 4,049 Reaction score 1,022 Oct 26, 2015 #43 Mwaka huu nao Cuf Zanzibar chini ya Maalim wamezuia goli la mkono kwa kudaka mkono safi sana
Mtangoo JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 6,163 Reaction score 5,623 Oct 26, 2015 #44 lukindo said: AFP ilikuwa ya kwanza kutangaza matokeo ya Nigeria. Japo sote ni Waafrika weusi, alisikika 'incumbent' Jonathan akimpongeza mpinzani Buhari kwa ushindi, hatujajifunza kitu kweli!?? Click to expand... GEJ ni moja ya marais wachache Afrika walio na hofu ya Mungu.
lukindo said: AFP ilikuwa ya kwanza kutangaza matokeo ya Nigeria. Japo sote ni Waafrika weusi, alisikika 'incumbent' Jonathan akimpongeza mpinzani Buhari kwa ushindi, hatujajifunza kitu kweli!?? Click to expand... GEJ ni moja ya marais wachache Afrika walio na hofu ya Mungu.
ikipendaroho JF-Expert Member Joined Jul 26, 2015 Posts 3,901 Reaction score 3,858 Oct 26, 2015 #45 Polisi watapiga mwisho wataishiwa risasi, sasa hapo ndipo inapokuja amriii, "attaaaaaaack". Wataingia mitini
Polisi watapiga mwisho wataishiwa risasi, sasa hapo ndipo inapokuja amriii, "attaaaaaaack". Wataingia mitini
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,626 Oct 26, 2015 #46 ICC wapo huko wanakusanya ushahidi. Polisi watajikuta wapo katikati.
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,842 Reaction score 10,765 Oct 26, 2015 #47 ikipendaroho said: Polisi watapiga mwisho wataishiwa risasi, sasa hapo ndipo inapokuja amriii, "attaaaaaaack". Wataingia mitini Click to expand... Bado kidogo utadakwa
ikipendaroho said: Polisi watapiga mwisho wataishiwa risasi, sasa hapo ndipo inapokuja amriii, "attaaaaaaack". Wataingia mitini Click to expand... Bado kidogo utadakwa
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,117 Oct 26, 2015 #48 Wala sio sifa kutumia mabomu kwenye maswala kama haya. Hivi Tanzania ni nchi ya amani kweli?
M majebere JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 4,990 Reaction score 1,838 Oct 26, 2015 #49 Tutawatandika mpaka watakubali. Hilo ni koloni la ccm bana