mtanzania hajafanya fujo hajakataa amri ya askari wala hajaulizwa chochote, lakini wanapiga tu kwa vile wameambiwa na wanajua hawafanywi kitu, wakiona wananchi wamewajua watahamishwa tu kituo anaendelea na kazi na watu washapoteza maisha, ila midomo yote inayonena kuumiza wananchi mungu atawaadhibu