silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,616
- 2,367
Whatever it will be CCM OUT.
Kila siku Maalim amekuwa akipokwa tonge mdomoni, this time kaamua hakubali!.
P.
ndio hivo hata lowasa afanye hivo hivo huku bara asiwangoje NECKila siku Maalim amekuwa akipokwa tonge mdomoni, this time kaamua hakubali!.
P.
Muda mfupi baada ya Maalim Seif kutangaza ushindi askari wa kutuliza ghasia wanapiga mabomu maeneo ya mtendeni ambapo ni ngome ya CUF. cha kushangaza wananchi hawatawanyiki bali ndo kwanza wanasherehekea