Mkubwa ndevu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,043
- 358
sababu.. wamachinga
kuhamishwa eneo la biashara
'TOWN XUL' hivyo leo
wakaandamana kupinga
uamuzi huo.. ILLEGAL DEMO!!
nini nini shida?maana sasa hivi ushabiki nao kazi kweli kweli.mabomu ya machozi yanapigwa mida hii maeneo ya soko la nguzo nane ndani ya manispaa ya shinyanga mjini
mabomu ya machozi
yanapigwa mida hii maeneo ya soko la nguzo nane ndani ya manispaa ya
shinyanga mjini
machinga bt machinga wamesogea kwenye ofisi ya chadema na ndio yamepigwa pembeni ya ofisi ya cdm sasa
Machinga wamefanya nini?machinga bt machinga wamesogea kwenye ofisi ya chadema na ndio yamepigwa pembeni ya ofisi ya cdm sasa
machinga wana nini na kwenye ofisi za chadema wanafanya nini?au wana agenda ya siri na chadema?machinga bt machinga wamesogea kwenye ofisi ya chadema na ndio yamepigwa pembeni ya ofisi ya cdm sasa
Sa mbna habari haina nyama ya kutosha? Au unadhani wote 2po hapo.